KERO Responded Maghorofa ya Shekilango NHC - Dar yananuka sababu ya kukosa maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

raiamwematz24

Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
8
Reaction score
21
Wakazi wa Shekilango jiji Dar es Salaam tunashida kubwa sana ya uhaba wa maji, hatuna huduma tangu mwezi wa Desemba 2025.

Watayafungua wao, wakipenda kufungua na bili za maji kama kawaida yaaani tunaumia sana.

Imagine unaishi maghorofa ya NHC hapo Shekilango halafu hamna maji, just imagine how is ndani! Kunanuka balaaa utafikiri hakuna watu wanaoishi, kila kona kuna nuka kinyesi na mikojo.

Magorofa ya Shekilango NHC yananuka balaaa maji hamna wanaoishi hapo, kila siku watu wananunua maji dumu moja Sh 1,000, kwa maisha gani ya Mtanzania tutaishi hivyo?

Pia soma ~ DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo
 
Wakazi wa Shekilango jiji Dar es Salaam tunashida kubwa sana ya uhaba wa maji, hatuna huduma tangu mwezi wa Desemba 2025.

Watayafungua wao, wakipenda kufungua na bili za maji kama kawaida yaaani tunaumia sana.

Imagine unaishi maghorofa ya NHC hapo Shekilango halafu hamna maji, just imagine how is ndani! Kunanuka balaaa utafikiri hakuna watu wanaoishi, kila kona kuna nuka kinyesi na mikojo.

Magorofa ya Shekilango NHC yananuka balaaa maji hamna wanaoishi hapo, kila siku watu wananunua maji dumu moja Sh 1,000, kwa maisha gani ya Mtanzania tutaishi hivyo?
Ameni hapo mnadhani kuishi maghorofani ni sifa??
 
daislamu kudaaadeki huo mji ni wa hovyo sana.....pamoja na kupenda kwangu starehe huwa sitamani kabisa kuishi daressalam.
 
Back
Top Bottom