Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Nimepata 8502085576989.80005 nimezidisha log halafu nikingiza magazijuto
 
Ujinga kama huu ndo siupendagi sasa ningekuwa najua Mwezi au tarehe ya kuzaliwa ningetafuta nini kwako??Wewe ungesema Mwaka wako kama unaujua basi zidisha mara kadhaa gawa kwa 12 brah brah utajua mwezi uliozaliwa na tarehe kuliko ----- uliotujazia hapo juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…