wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Sasa unitajie mimi sijui tarehe yangu ya kuzaliwa?
Swali zuri....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unitajie mimi sijui tarehe yangu ya kuzaliwa?
je umethibitisha iyo tarehe..?!
....jibu mi sina
tarehe na mwezi ni sawa....
August 12
Nimepata 758233834156.89N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa
Nimepata 758233834156.89
November 20