Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata 532
Ni kweli, Nifundishe! unafanyaje ukishapata hilo jibu la 932? Tupe shule kidogo.
Nakuachia hapa utake over..me na sign out
Mkuu Mimi mwenyewe alikataa kuniambia anafanyaje ila ni algebra tu.fikiria utajua kama Mimi nilivyojua
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa
mwanzisha maada ana mimba changa
Mbona ka mchezo ka jamaa nimekagundua kiurahis yaani hilo jibu unalolipata anatenga namba mbili mbili kwa kutokea kulia then anatoa 5 kulia kushoto ana toa2,mfano yule 1017 ukitoa 2 kwny 10 unapata 8,na 5 kwny 17 unapata 12 there4 kushoto n mwez na kulia n tarehe. hata yule 306 ametoa 5 kwny 06 na 2 kwny 3. ko ukitaka na wewe jaribu kwa mwez wako.
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa
nimepata 1132
nimepata 609
April 4
Mkuu em ni pm unafanyaje ili nimfanyie rafiki yangu hapa na mimi nipate attention. Huu urafiki na kambi ya upinzani ni gharama kuulea. Fanya mambo kwenye pm basN.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO