Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Toa jibu....tuko 3 tumechanga kumi kumi tukapata 30.tukanunua chakula cha 25.tukapata chenji ya 5.tukagawana moja moja zikabaki mbili.hizo mbili tukatoa zawadi kwa muhudumu.
SWALI:Tulitoa kumi kumi tukarudishiwa moja moja inakuwa tumetoa tisa tisa.kwa sisi watatu jumla inakuwa 27 ukijumlisha na ile mbili tuliyotoa zawadi kwa muhudumu inakuwa 29.MOJA IKO WAPI KUFANYA 30.
 
Back
Top Bottom