jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Yaani nimeutumia juzi ( Jmosi) lakini adi leo Jtatu kidevu na usoni nina mauvi makali kabisaa na uso bado umevimba niapa kutoutumia tena!
Yaani nimeutumia juzi ( Jmosi) lakini adi leo Jtatu kidevu na usoni nina mauvi makali kabisaa na uso bado umevimba niapa kutoutumia tena!
mi natumia siku nyingine inaniunguza, ila nilichogundua nilikuwa nakosea kwenye ratio sasa hainisumbui; sijui labda kansa ya kidevu hapo baadaenilitumia mara ya kwanza wakati nasimamia harusi flani hvi.. Dah kidevu kilikuwa kizito kweli pia maumivu ya kama nyama imetoka. Ila uzuri wake nliona hamna ndevu hata moja hata upapase vipi. Nmekuwa mzito sana kutumia tena ile mambo
mi natumia siku nyingine inaniunguza, ila nilichogundua nilikuwa nakosea kwenye ratio sasa hainisumbui; sijui labda kansa ya kidevu hapo baadae
Natumia Magic powder for almost 2 yrs nw na haijaniletea madhara so far...
Pengne watu wanakosea dk za kuacha huo mchanganyko kwenye ngoz, (unatakiwa uache kwa dk 4-6)..
Isizid hapo, then unaosha uso na maji meng..
Ni nzur xana, ipo pouwa..
I encourage people to use, hasa wanaotoka na vipele wakinyoa ndevu..
Nawasilisha
mh! sihusiki!
Kusema kweli hata mimi natumia 'Magic' regularly kwa mwaka mzima sasa, nimewahi kuungua mara chache kama ukikuta mchanganyaji hajui ratio yake na kuifanya kuwa nzito sana, kutoilowesha mara kwa mara wakati unasubiri ifanye kazi, na kuiacha kwa muda mrefu sana...akizingatia hayo huwezi kuungua wala kusikia kidevu kizito.
Inasaidia sana kwa hypersensitive skin zinazotoa mapele baada ya kushave (ndilo tatizo langu kubwa lakini magic inanisaidia). hata mimi nimeshajiuliza sana mechanism yake ya kufanya kazi. Kuna chemical kwenye Magic ambazo zikiwa kwenye ratio husika basi zinachoma na kulegeza nywele/ndevu tu mpka kwenye root, na hivyo unavyokuja kukwaruza zinatoka tu. Na kwa sababu imekatwa kwenye level ya root basi inachelewa kuota na kupunguza risk ya mwasho na ngozi kuvimba mapele.
Nilijaribu kufuatilia ingredients zake kama zina teratogenic effect (kusababisha kansa) au effect nyingine kwa ngozi lakini hakuna literature yeyote kuhusu hilo. Pia ni product ambayo watu wanatumia kwa muda mrefu sasa na only adverse effect ni kuungua skini iwapo anayekuhudumia hajui kuitumia vizuri (ratio, kulowesha na muda wa kusubiri).