pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
tuna supermodels watatu NY!The love for Kenya and it's majestic flag is real. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]..... and this was last year in Paris, long before Naomi Campbell was named Kenya's Tourism Ambassador.
Walitaka kwa kelele zao wamnyime fursa, tena kwenye kazi ambayo amejitolea kuifanya bila malipo. Ila walisahau kwamba kelele kama hizo zisizokuwa na tija huwa zinafiafia tu, baada ya kuambulia patupu.
Nice to know, but, who asked you?tuna supermodels watatu NY!
tunajitangaza na si kupewa promo na vibibi!Nice to know, but, who asked you?
Congrats, sisi huwa hatujitangazi. Huo ni upumbavu. [emoji57]tunajitangaza na si kupewa promo na vibibi!
Hivi Kunyaland mna supermodel hata mmoja? yaani wa ngama?Congrats, sisi huwa hatujitangazi. Huo ni upumbavu. [emoji57]
Ajuma Nasenyana, Malkia Firth.Hivi Kunyaland mna supermodel hata mmoja? yaani wa ngama?
Leta picha zao !Ajuma Nasenyana, Malkia Firth.
Tumia GoogleLeta picha zao !
Very true, I was amazed to learn that she has been practically living at the coast, in Malindi, for quite a long time.Naomi has done so much for Kenya Tourism yet she has been receiving a lot of criticism for doing so
Huyu mzee ana utoto sana, eti na ni agemate ya huyu anayeimuita kibibi. 😄Ajuma Nasenyana, Malkia Firth.
Wait, wait to hear ze ndanganyi-azz b-line national athem,"Auo sio, beberu, mzungu, mijitu and ze mother of all fourth stanza word nyangau"I don't think Geza knows who Naomi Campbell is and that she is not Kenyan, that's why his default setting was to start posting photos of Tanzanian models at the international arena in an apparent attempt to compare them with Naomi.