pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
The love for Kenya and it's majestic flag is real. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
..... and this was last year in Paris, long before Naomi Campbell was named Kenya's Tourism Ambassador.
Walitaka kwa kelele zao wamnyime fursa, tena kwenye kazi ambayo amejitolea kuifanya bila malipo. Ila walisahau kwamba kelele kama hizo zisizokuwa na tija huwa zinafiafia tu, baada ya kuambulia patupu.