Magical Kenya kutumia hotuba za Magufuli katika kujitangaza inamaanisha nini?

Magical Kenya kutumia hotuba za Magufuli katika kujitangaza inamaanisha nini?

Ninavyojua mimi ni kwamba, Magical Kenya ni kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii Kenya, ninashindwa kuelewa uhusiano uliopo kati ya vivutio vya utalii Kenya na Magufuli, ninaomba kueleweshwa katika hili.

Hivi jiwe ana branding au economic appeal ya ku-influence chochote hapa duniani?

Jibu ni no!
 
Back
Top Bottom