baba aura JF-Expert Member Joined Aug 5, 2023 Posts 254 Reaction score 393 Aug 17, 2024 #1 Wakuu habari ya week end,naomba mnijuze anaejua bei us magneto mpya na wiring ya boxer bm 150
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Aug 17, 2024 #2 It depends na location uliyopo...ila hakuna spare genuinely ya boxer ina bei ndogo kwa haraka andaa laki moja..
It depends na location uliyopo...ila hakuna spare genuinely ya boxer ina bei ndogo kwa haraka andaa laki moja..