Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

Nina magodoro aina zote unahitaji godoro gani mkuu
Nilinunuliwa magodoro na ndugu yangu nikakuta ni magumu sana unakuwa kama umelala sakafuni. Kwa bahati mbaya ni mikoani; je mna branches huko mikoani? Ninahitaji magodoro soft, ila sijui brands zizlizopo kwani mimi ninaishi nje ya nchi. Kama mnafika mikoni, nitakuunganisha na ndugu yangu huyo anayesimamia mambo ya nyumbani wakati mimi sipo.
 
Nilinunuliwa godoro na ndugu yangu nikakuta ni gumu sana unakuwa kama umelala sakafuni. Kwa bahati mbaya ni mikoani; je mna branches huko mikoani? Ninahitaji magodoro soft, ila sijui brands zizlizopo kwani mimi ninaishi nje ya nchi. Kama mnafika mikoni, nitakuunganisha na ndugu yangun huyo anayesimamia mambo ya nyumbani wakati mimi sipo.
Huko mkoani huwezi kosa wauza magodoro. Nunua brand nzuri km tanfoam
 
Asante sana kwa tip hii. Nitaanza kusisitiza Tanfoam; je ,magodoro yote ya Tanfoam ni soft au inategemea na vigezo vingine zaidi?
 
Wana foam, spring. Na wana magodoro ya wenye shida ya mgongo ambayo ni magumu kama ubao.
 
Ninataka foam lakini hata hayo magumu aliyoninunulia ndugu yangu ambayo ninalalamikia yote ni ya foam.
 
Nilinunuliwa magodoro na ndugu yangu nikakuta ni magumu sana unakuwa kama umelala sakafuni. Kwa bahati mbaya ni mikoani; je mna branches huko mikoani? Ninahitaji magodoro soft, ila sijui brands zizlizopo kwani mimi ninaishi nje ya nchi. Kama mnafika mikoni, nitakuunganisha na ndugu yangu huyo anayesimamia mambo ya nyumbani wakati mimi sipo.
Inategemea ni mkoa gani mkuu
 
Nahitaji QFL 5×6 8Inches ni sh. ngapi?

Nitajuaje kama ni Original maana chapa ni nyingi ila fake..!?
 
Back
Top Bottom