Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu.
Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni miaka 4, lakini sasa limeanza kumomonyoka na haliwezi tena kutumika.
Imrnilazimu kuingia tena dukani kununua godoro lingine. Kati ya magodoro kama QFL MAGODOLO DODOMA, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING, na DODOMA ASILIA, lipi ni kampuni gani wako vizuri au inagodoro nzuri?
Ningeomba kujua kwa wale wataalamu na wauzaji niambie pia uzoefu wenu binafsi na aina hizi za magodoro ili nijue ni godoro gani ninaloweza kununua nisijute kwa mara nyingine kwa ubora na uimara wake.
Asanteni sana!