M mdhama Member Joined Apr 11, 2011 Posts 48 Reaction score 19 Jan 10, 2012 #1 Heri ya mwaka mpya wadau! Ninashida ya kufahamu bei ya dogoro la dodoma 5X6 kwa wale walonunua siku za karibuni. Ahsanteni
Heri ya mwaka mpya wadau! Ninashida ya kufahamu bei ya dogoro la dodoma 5X6 kwa wale walonunua siku za karibuni. Ahsanteni
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,500 Jan 10, 2012 #2 kyu efu elo 5X6 ni 70 elfu!!! vp liliondoka na mafuriko au!!!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Jan 10, 2012 #3 70000, kwa bei ya lini?
S sinzaboy Member Joined Sep 12, 2011 Posts 39 Reaction score 24 Jan 10, 2012 #4 ata me ngependa kujua ya lini iyo mzaz?
T tisa desemba JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 434 Reaction score 115 Jan 10, 2012 #5 5x6 inch ngap? kuna nchi 4, 6, 8 etc pia 5x6 aina ipi kuna yenye spring na ya kawaida ....specify
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 326 Jan 10, 2012 #6 tembelea yellow page, wapigie simu watakupa bei zao za jumla na reja reja