Magodoro Dodoma

Magodoro Dodoma

mdhama

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
48
Reaction score
19
Heri ya mwaka mpya wadau! Ninashida ya kufahamu bei ya dogoro la dodoma 5X6 kwa wale walonunua siku za karibuni. Ahsanteni
 
5x6 inch ngap? kuna nchi 4, 6, 8 etc
pia 5x6 aina ipi kuna yenye spring na ya kawaida
....specify
 
Back
Top Bottom