Magodoro Dodoma

mdhama

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
48
Reaction score
19
Heri ya mwaka mpya wadau! Ninashida ya kufahamu bei ya dogoro la dodoma 5X6 kwa wale walonunua siku za karibuni. Ahsanteni
 
kyu efu elo 5X6 ni 70 elfu!!! vp liliondoka na mafuriko au!!!
 
5x6 inch ngap? kuna nchi 4, 6, 8 etc
pia 5x6 aina ipi kuna yenye spring na ya kawaida
....specify
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…