INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

Njoo siku moja ,kuja hapa water front working days saa 10 jioni then ni Pm tutoke twende wote nyumbani, njoo hata Leo
Kumbe ww dada ni mmojawapo wa wanaomiliki water front ndio sababu una nyodo
 
Jamani tunashukuru kwa kampani yenu, lakini huku mwishoni mwishoni mngetuacha tuyamalize wenyewe... tutawapa feedback... si eti ladyAj?.
Nitawatupia picha ya ladyAj akiwa juu ya matandiko ya mbwa halafu mi naokota nguo chini.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huku nikikutia viboko juu ili uache kumwaga mwaga nguo
 
Mkuu kupiga picha na hizo nguo hapo pembeni ni uchochezi kwa wana CHAPUTA, binafs sifikiirii cha magodoro tena, n hizo nguo hapo hasa io kanga
 
Hivi unajua bei ya godoro jipya kweli wewe..godoro la comfy 5×6 la inch nane ni tsh..180000 sasa hayo ya kwako yaliotumika unauza bei hiyo kwa sababu ni ya alluminuam au.
 
Binafsi bado ni mwanachama hai wa CHAPUTA.. so kuhamasisha vijana kutumikia chama ni wajibu wangu kaka.
 
Hivi unajua bei ya godoro jipya kweli wewe..godoro la comfy 5×6 la inch nane ni tsh..180000 sasa hayo ya kwako yaliotumika unauza bei hiyo kwa sababu ni ya alluminuam au.
Kaka hujawahi kuona nguo ya mtumba yenye bei kubwa kuliko za dukani?!..
 
kwa hayo magodolo yote mawili nakupa 40,000/ elfu arobaini tu. unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…