Magodoro ya Fiber

Magodoro ya Fiber

Abubakari Mussa

Senior Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
129
Reaction score
188
Habari boss
Mimi ni Muajiriwa katika kampuni ya magodoro ya Goldsun, nafanya kazi kama Sales

Leo naomba nikuletee fursa hii ya magodoro, twende pamoja

Kampuni hii inazalisha magodoro ambayo material yake sio sponchi, bali ni FIBER, fiber ni nyuzi nyuzi.

Utofauti wa haya magodoro ya mengine ni kuwa, hayakai na kimiminika mfano maji au mkojo endapo litamwagikiwa. Basi itachuruzika mpaka chini

Pia halikamati moto, yaani haliungui kwa lugha ya kizungu ni Inflammable

Pia godoro hizi ni ngumu na zinatumika kama tiba kwa wenye matatizo ya mgongo

Tunauza kwa jumla na rejareja, wale wa jumla naomba tuwasiliane nikutumie price list,

Wale wa rejareja, ukishaapata mzigo ndio utalipia.

Tunapatikana Dar es Salaam

Mfano wa bei - 5 kwa 6 inch 6 _ 170,000/=
- 5 kwa 6 inch 8 _ 200,000 /=
- 5 kwa 6 inch 10_ 300,000/=

Magodoro yapo ya aina nyingi unaweza ukaandika swali nikakujibu

Unaweza ukanipigia au ukanitext wasap - 0659588492

Mkoani tunatuma pia

Bei ni za Offer za mwaka mpya

Screenshot_20250109_212712_Instagram.jpg
20250113_124734.jpg
 

Attachments

  • 20250110_113332.jpg
    20250110_113332.jpg
    696.6 KB · Views: 3
Magodoro yenu mabovu sana kuna moja nilinunua kwa kupima uzito likiwa ndani ya foronya kumbe ndani ni boya siyo godoro wala hiyo fiber. Nawalaani sana..
Kaka pole kwa changamoto uliokumbana nayo

Ila kwaniza tarehe 15/25 , kampuni imebadili kila kitu kwanzia uongozi mpaka uzalishaji

Hakika magodoro yana kiwango Na yamekidhi vigezo vya TBS

Karibu
 
Tuelezee Vizuri Tusijekufanya Makosa
Magodoro yenu mabovu sana kuna moja nilinunua kwa kupima uzito likiwa ndani ya foronya kumbe ndani ni boya siyo godoro wala hiyo fiber. Nawalaani sana..
 
Back
Top Bottom