Munich matahira Hawa uefa wanapiga Saba lakini aziwafikishi popote.walishindwa Nini kucheza Kama mazoezi kupiga pasi na kujifunza kumiliki mpiira.makenge Sana Hawa munich
Kuna mwingine kama sio Schalke04 kachapa MTU goal 21 mwezi uliopita. Unajua Mimi sijawahi kushuhudia goals nyingi namna hii. labda kwa vile nimeujua mpira ukubani
Pia 2013 waliwapiga barca 4-0, 3-0 uefa. Barcelona akajifanya nunda akaomba game tena pre season akakung'utwa 2 ndio mwaka wa brazuka wakamsulubu huyo bishoo za kucheba tu