Magoli 23 kwa mpigo !! (+Picha)

Magoli 23 kwa mpigo !! (+Picha)

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Klabu ya Bayern Munich yachachafya Rottach magoli 23 !😂
 

Attachments

  • IMG_20190808_230614.jpg
    IMG_20190808_230614.jpg
    42.3 KB · Views: 33
Pia 2013 waliwapiga barca 4-0, 3-0 uefa. Barcelona akajifanya nunda akaomba game tena pre season akakung'utwa 2 ndio mwaka wa brazuka wakamsulubu huyo bishoo za kucheba tu
Hao ndio jermani mashine, warinipigia wale mabishoo goli 7 mwaka 2014 [emoji16]
 
Back
Top Bottom