OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wamefungwa mfululizo halafu wanakuja kuishauri Simba ambayo haijapoteza.Wanaohangaika kuanzisha nyuzi za kumponda Fadluπππ hii timu wote makocha sijui Kwa nini wanaajiri ππ
Ukisikia kupagawa ndo hukoWamefungwa mfululizo halafu wanakuja kuishauri Simba ambayo haijapoteza.
Moja haikai mbili haikai,wanajisahau kuna mechi yao na NamungoUkisikia kupagawa ndo huko