Magoli ya Ajibu na Faisal wa Yanga dhidi ya Mwadui FC ni hatari

Magoli ya Ajibu na Faisal wa Yanga dhidi ya Mwadui FC ni hatari

Ni magoli mazuri yaliyofungwa na wachezaji wanaoendelea kupevuka kimchezo. Bidii ikiongezeka, wnaweza kufika mbali.
 
Ajiiiibuuuuuu................Mbagala to Tegeta Nyuki.
 
Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho 3-1,picha naleta
Wenzenu wako makundi African champions league, na wanapeta wewe unaongelea magoli hayana hata impact. Ndondoni kuna magoli mazuri zaidi.
 
Back
Top Bottom