samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
utajijuuuu....mikia FC.
Yaani ingekuwa soo.......hawa Mbumbumbu FC kweli Rage alisema.Magoli ya kikatili mno,wale jamaa awakua na nia nzuri na yule kipa,yale yangefungwa na chama wa mikia mitaani tusingekunywa maji
Mbu mbu mbu wanapata tabu sana!kila wakikumbuka mwakani wanarudi kwenye eda yao ya wahapa hapa roho zinawauma sanaYaani ingekuwa soo.......hawa Mbumbumbu FC kweli Rage alisema.
Aisee hawezi.kipa ndio alikuwa pazia, shoot la mbali ivoo unashindwa kudaka, angekuwa de gae angemeza ayoo mashoot yotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo wala sio ramadhani ngoja ni paschal kabombe. Ngonda na mpenja wale ni habari nyingine kabisa.Haya ni maajabu(baraka mpenja)View attachment 996120
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili goli ulitakiwa alisimulie baraka harrson mpenja..huyo alwatan ngoda hajalitendea haki
Wenzenu wako makundi African champions league, na wanapeta wewe unaongelea magoli hayana hata impact. Ndondoni kuna magoli mazuri zaidi.Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho 3-1,picha naleta