Magoli ya Ajibu na Faisal wa Yanga dhidi ya Mwadui FC ni hatari

Vyura wanafarijiana kwa vitu vya kitoto eti magoli ya mbali!! Ukiuliza walikuwa wanacheza na timu gani?? Kweli wakati fulani mko sahihi furaha jipe mwenyewe
 
Wenzenu wako makundi African champions league, na wanapeta wewe unaongelea magoli hayana hata impact. Ndondoni kuna magoli mazuri zaidi.
Asee nyie jamaa kuna muda naamini kweli ni Mbumbumbu. Yaani hata msimamo hujaangalia jinsi gap la point linavyozidi kutana?! Kwanini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…