Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyomeza lile la kombe la Dunia?!kipa ndio alikuwa pazia, shoot la mbali ivoo unashindwa kudaka, angekuwa de gae angemeza ayoo mashoot yotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nyie jamaa kuna muda naamini kweli ni Mbumbumbu. Yaani hata msimamo hujaangalia jinsi gap la point linavyozidi kutana?! Kwanini lakini?Wenzenu wako makundi African champions league, na wanapeta wewe unaongelea magoli hayana hata impact. Ndondoni kuna magoli mazuri zaidi.
Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho 3-1,picha naleta
Wa mbeya huko mwakaleli wanasema isingekuwa nyavu wangeokota mpira soko la mwanjelwa