Magoli ya Azam jana yameonekana leo Chamazi akimiminiwa ADT

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jana Azam alikuwa ashinde zaidi ya mabao 5, mchezo wa leo pale chamazi ambao wa Djibout wamekufa 5 1 ndio ulikuwa mchezo wa jana ambao Azam wangeshinda, na mchezo wa jana ulikuwa wa leo, Azam haya ninayowaeleza nipuuzeni tu lakini uwanja wa Chamazi ushakuwa wa utopolo.
 
Watu kama nyinyi akili huwa mnaziweka wapi hadi inakuwa ngumu kuzitumia?

Yaani mtu mzima unakuwa na Imani ya namna hii? Huzuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…