Magoli ya Mbappe aliyowapiga Man City yana-prove kwamba bado ni world class

Magoli ya Mbappe aliyowapiga Man City yana-prove kwamba bado ni world class

Killian Mbape mnyama mtu mbaya sana uwanjani.
Alidhibitiwa Anfield tu.
Tena na kijana mdogo sana Conor Bradley.
 
Madrid bila ya kutumia akili lazima akupige goli nyingi.
 
Back
Top Bottom