Magoli ya penalty kumnyima saido kiatu

Magoli ya penalty kumnyima saido kiatu

Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty.

Makolo kilio kimezidi
Uongo unawasaidia nini
IMG-20230609-WA0038.jpg
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Makolo mmenuna
Mtafuteni George Mpole huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty.

Makolo kilio kimezidi
Kwani Mayele hana magoli ya penati?

Kama hana, kwanini hakupewa afunge kumpunguzia presha?
 
Hivi ndiyo vigezo anavyotumia Samia kuuza bandari. Wajinga ni wengi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kulikuwa hakuna kanuni na wote ni wafungaji bora ,inabidi wapewe wote! Huwezi kuanza kuleta kanuni baada ya tukio kutokea!

Top Scorer - Mfungaji Bora ,

Sasa Kina Ahmed Ali anasema sijui Assist ina maana hajui maana ya Scorer? Mfungaji?
 
Back
Top Bottom