Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uwe na huruma kidogo.Usiwatwange maswali mazito hivyo.Watakuwa wanagugumia kwa kilio cha kwikwi huko walipo.Tatizo hawataji bei!
Sasa wameanza visingizio vya magoli mepesi.
Goli la Kagere dhidi ya Chura sijui lipo category gani?
Jepesi au zito?
Tatizo unasahau harakaKaria-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
mze IBRAHIM AKILIMANI - Ndio nani huyu?Nina mashaka na mtoa mada asije akawa ni mze IBRAHIM AKILIMANI huyu
Maskini timu yangu Azam?Tatizo unasahau haraka
Tenga-yanga
Mwakalebela-yanga
Nyamlani-yanga
Sunday kayuni-yanga
Luis Sendeu-yanga
Baraka kizuguto-yanga
Malinzi-yanga
Mwesiga Celestin-yanga
Kwahiyo tulia dawa ikuingie, ukila lazima na wewe uliwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi, sio wa kimazingjraKaria-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
Washabiki wa NDALA FC mwaka huu once again mtaendelea kula Unga wa CHUPA.... MNYAMA MKALI NI HATARI SANAMtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo.
Ila kuna kitu kinanipa mashaka, magoli waliyofunga ni marahisi sana, yaani wamerahisishiwa namna ya kupata magoli hayo, kwa kifupi ni kama kupigana na mlevi aliyepo chakari.
Goli la kwanza ni la penati. Mpira umemgusa mchezaji wa Stand begani, refarii akakimbilia kutenga tuta, na John Bocco akafunga.
Goli la pili, offside ya wazi kabisaaaaa, John Bocco alibaki pekee yake na kipa halafu yule kipa sikuelewa ni kwa namna gani mpira uliompitia karibu ashindwe walau hata kuugusa. INASHANGAZA!
Inaonekana Simba kwa sasa wanapeleka miamala pande mbili, kwa wasimamizi wa mchezo bila kusahau kwa mabeki na magolikipa wa timu pinzani. Hebu kumbuka walau goli la faulo alilofungwa kipa wa Lipuli juzi, ni AIBU.
Mpira wetu bado una safari ndefu sana.
Nawasilisha...
Bei gani kahaba.
Mtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo.