Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

Tatizo hawataji bei!
Sasa wameanza visingizio vya magoli mepesi.
Goli la Kagere dhidi ya Chura sijui lipo category gani?
Jepesi au zito?
 
Tatizo hawataji bei!
Sasa wameanza visingizio vya magoli mepesi.
Goli la Kagere dhidi ya Chura sijui lipo category gani?
Jepesi au zito?
Mkuu uwe na huruma kidogo.Usiwatwange maswali mazito hivyo.Watakuwa wanagugumia kwa kilio cha kwikwi huko walipo.
 
Reactions: Tui
Karia-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
Tatizo unasahau haraka
Tenga-yanga
Mwakalebela-yanga
Nyamlani-yanga
Sunday kayuni-yanga
Luis Sendeu-yanga
Baraka kizuguto-yanga
Malinzi-yanga
Mwesiga Celestin-yanga
Kwahiyo tulia dawa ikuingie, ukila lazima na wewe uliwe!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
YANGA wanaijua siri ya mchezo, jinsi walivyojiuza kwa Simba ndivyo hivyo wanajua timu zingine zinajiuza pia.

Wanawaonea wivu wenzao.
 
Washabiki wa NDALA FC mwaka huu once again mtaendelea kula Unga wa CHUPA.... MNYAMA MKALI NI HATARI SANA
 
Reactions: Tui
hata lile goli vyura mlilopigwa lilikua rahisi Sana!

imekuwaje kwabwili asione kile kichwa Cha Kagere?


hivi vyura mnatutafuta Nini lakini?
 
Yes kama tulikuhonga na ww Yanga tutashindwaje kwa stand[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…