Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

Inauma sana pale Masawe apokufunga alafu anakuja fungwa kirahisi na Bocco.
Vipi ile penati refa kapeta ya juma rashidi? Goli la pili angalia vizuri kuna jamaa alikuwa analinda goli nguzoni ndiye aliyemuweka boko onside.
 
Reactions: Tui
Mke mdogo kaletewa kanga,mke mkubwa amenuna.Anadai amepewa doti moja wakati mke mdogo kapewa doti mbili.
Usinune msimu ujao utapewa doti mbili ili gubu liishe.
 
Ulitaka mfungwaje ndio mtukubali,maaninaaaaaa,tumewagonga na tutawaginga sana wehu nyieeee
Yondani mlimpa sh ngapi..Bocco anapita kirahisi vile..Yondani uchochoro..kuwa Na mamluki kwenye timu mbaya sana
 
Yondani mlimpa sh ngapi..Bocco anapita kirahisi vile..Yondani uchochoro..kuwa Na mamluki kwenye timu mbaya sana

Teh teh teh!

Hata mwalimu wenu Zahera tulimuhonga ili asiifundishe timu vizuri siku ile ya game mkuu,sisi tunahonga sana,hatujui kabisa mpira,Kagere anabahatisha tu,nyie ndio timu bora kabisa Africa,hakuna anayewazidi,hongereni sana timu ya wananchi ya kulialia
 
Mbona unaongea kipashkuna kama James Delicious
Ndo unatangaza biashara yako nn
Unashangaa nn kwan mambo haya yameanza tu kwa simba mlipokua manafanya nyny mbna mlkua mnashangliaa chezen mpra km vip achen kuangalia mechi za simba mtaumia bure haf m sina maneno y kjinga km yako jibu hoja na sio maneno ya kjb
 
kwahiyo wewe hukutaka simba washinde?hahahahahaha vipi marefa walikuwa fair?
 
Mmewaponza kina Kambuzi! Kweli rushwa ni adui wa haki

Inaonekana uwezo wa huyu refa ni mdogo, alishafungiwa tena kwa kuipendelea Yanga kwenye FA cup dhidi ya Coastal Union?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…