Magolikipa waliotamba zamani nchini

isihaka majaliwa-majimaji
khamis makene-coastal union
moses mashoto-mecco
moris nyunyusa-nyota nyekundu
 

Hahahahaha Mtani,huyo Sadik Kalokola alikuwa si mchezo mtani hapa Yanga ndio ilikuwa imekusanya vipaji halisi haswa kuanzia wakina Nonda,Akida Makunda,Sanifu Lazaro,Lunyamila,kizota,Mkapa,Salvatory,Maalim Saleh,Idifonce Amlima nk.
 
Hahaaaa chachala muyaaaaaa ....alikuwa balaaaaa

Fitna na majungu ya FAT enzi hizo chini ya Ukatibu Mkuu wa Ismail Aden Rage zilimkimbiza jamaa Bongo akaenda zake kuchukua Uraia wa Rwanda na kudakia Amavubi chini ya kocha Raul Shungu.
 
Morris Nyuchi wa Nyota Nyekundu SC, Riffat Said wa Miembeni FC ya Zanzibar.

Vv
 
Athumani Msomali- Reli Kiboko ya vigogo morogoro

Joseph Katuba- Yanga, Simba

Rifat Saidi- Yanga
nilitaka nimtaje Katuba aliidakia yanga lkn ukipa wake umeisha akiwa na umri mdogo baada ya kupata ajali na Basi la hood eneo la madaba wakiwa wanaelekea songea kuikabili majimaji 1999
 
isihaka majaliwa-majimaji
khamis makene-coastal union
moses mashoto-mecco
moris nyunyusa-nyota nyekundu

Bila shaka unamaanisha Morris Nyuchi wa Nyota Nyekundu. Alipoondoka Morris Nyuchi akaja John Bosco, alitamba sana Nyota Nyekundu alipooenda Simba akawa Bomu.

Mkala Maulid, kipa wa CDA baadaye Yanga , Bahatisha Ndulute kipa wa Ushirika Moshi chini ya kocha mahiri Oscar Dan Koroso.

Enzi zile za 1980 Coastal walikuwa na kipa aitwaye Hamis Jack, ndiye aliyekuwa sub wa Hamis Kinye T stars.

Vv
 
Moses wa Mkandawire, mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…