Magolikipa waliotamba zamani nchini

Magolikipa waliotamba zamani nchini

Steven Nemensi wa simba
Ofen Martin ''Chusa'' Ushirika enzi hizo
Peter Manyika wa Yanga

Vipi Elias Michael wa Yanga, Patrick Nyaga wa Yanga, Sahau Kambi wa Yanga, na hata George Kumbemba wa ....Arusha
 
Mkala Maulid -CDA
Idi Msakaa -Pan Africa
Juma Mhina- Pamba FC baadaye Yanga, nakumbuka huyu alikula bao 5 kule Misri, Yanga alipokula 5-0 kwa National Al Ahly miaka ya 1980.

Vv
 
Marehemu Joseph Justin Katuba kwangu mimi alikua ni kipa bora sana
Ila ubora wake ulifichwa na Mwameja Mohamed Mwameja Tanzania One
 
Nasikia Kichochi in Marehemu.Alikuwa na Mbwembwe sana golini wakati huo akiwa na ukuta imara was Hussein Kaitaba,Godwin Kichemu,Mavumbi Omari katikati marehemu?Zahoro Sabu ambaye haddad alisajiliwa Simba dah.....
 
James Kisaka alikuwa ni kiboko.

Wengine ni Mkandawire na Omar Mahadhi
 
Back
Top Bottom