kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.