Lakini mbona hamjibu hoja zake?? Badala yake mnamshambulia tu,Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.
Kama BMT Na TFF wenye mpira wao hawakuona tatizo waliobaki ni makolo driven efforts. Hakuna cha uchaguzi tens hapo. Walofungua kesi ni batiliWazo langu hata kama imeamualiwa na mahakama Eng Hersi akae pembeni basi ufanyike uchaguzi haraka kwa mujibu wa katiba ya hao wazee wanavyotaka na uchaguzi usimamiwe na hiyo mahakama na tutamsimika tena Eng Hersi kuwa mtendaji Mkuu wa Yanga na vipigo vitaendelea na msimu huu tuipige Simba wiki (7-0) ili akili iwarudie.
Otherwise katiba mpya inayomhalalisha Eng Hersi isainiwe haraka na kuidhinishwa na wanachama kwenye mkutano Mkuu wa dharura.
Hatutaki hata one day Eng Hersi kuondoka Yanga maana hakuna raha kubwa kama kuona makolo wakilia lia baada ya Kipigo na yeye ndie mastermind behind the wheel!
Hii nchi yetu ngumu sana yaani Yanga kutoa vipigo miaka mitatu imewauma sana makolo wanataka ufalme wa soka uwe wao tu japo hilo limeenda na bado mpaka waseme, tabu iko pale pale!
Nb: tukumbushane kuwa Kenya walifungiwa kushiriki mashindano makubwa na FIFA kwa sirikali kuingilia masuala ya michezo, yakitufika nasisi tusilaumu.
Mwambie Engineer wako na nyie vibaraka wake mjibu hoja zake na sio Viroja.Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.
Magoma waliokutuma wamechelewa sana, uwezi kusema katiba ya yanga ni batili wakati imepitishwa na vyombo vyote vinavyosimamia mpira wa Tanzania na duniani, Ninapata mashaka pia na hakimu aliyesikiliza kesi upande mmoja wakati washtakiwa wakiwa awajui kinachoendelea!Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.
Katika Mazingira haya YANGA makombe yake mengi ni feki,Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.
Simba waligundua kuwa mo hakuweka zile 20b baada ya simba kukosa makombe kwa miaka 3 mfululizo, kabla ya hapo wakati timu yao ikishinda, yeyote aliyekuwa anahoji 20b alionekana ni mchawi kama wachawi wengine tu. Yanga sasa hivi inashnda makombe hawataki kusikia kitu kingine chochote kutoka kwa yeyote, watamchinja!!, hata magoma alijiwa hilo, ndio maana alikaa kimya na hukumu yake tangu mwaka jana.Mwambie Engineer wako na nyie vibaraka wake mjibu hoja zake na sio Viroja.
Kama huyo unaemsema yupo smart, alishindwa kufahamu huo ufa uliopo katika Katiba?!
Kufanya vizuri ni jambo moja, na yes, amejitahidi kwa hilo ila kufuata taratibu za uendsshaji mpira ni kitu kingine.
Unaandika kwa kutumia katiba ya yanga ya mwaka upi??Wazo langu hata kama imeamualiwa na mahakama Eng Hersi akae pembeni basi ufanyike uchaguzi haraka kwa mujibu wa katiba ya hao wazee wanavyotaka na uchaguzi usimamiwe na hiyo mahakama na tutamsimika tena Eng Hersi kuwa mtendaji Mkuu wa Yanga na vipigo vitaendelea na msimu huu tuipige Simba wiki (7-0) ili akili iwarudie.
Otherwise katiba mpya inayomhalalisha Eng Hersi isainiwe haraka na kuidhinishwa na wanachama kwenye mkutano Mkuu wa dharura.
Hatutaki hata one day Eng Hersi kuondoka Yanga maana hakuna raha kubwa kama kuona makolo wakilia lia baada ya Kipigo na yeye ndie mastermind behind the wheel!
Hii nchi yetu ngumu sana yaani Yanga kutoa vipigo miaka mitatu imewauma sana makolo wanataka ufalme wa soka uwe wao tu japo hilo limeenda na bado mpaka waseme, tabu iko pale pale!
Nb: tukumbushane kuwa Kenya walifungiwa kushiriki mashindano makubwa na FIFA kwa sirikali kuingilia masuala ya michezo, yakitufika nasisi tusilaumu.
mpumbavu yule hata dawa ya meno inamshinda kununua ataweza kununua hata maji ya mazoezi kwa timu?Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna mtu wa Yanga utamwambia kitu kuhusu timu yao kwasasa. Amezidi kuongeza umoja na uimara ndani ya Yanga yenye makombe, Chama, Aziz ki, pacome, dube, aucho na diigui
Magoma amejizolea maadui wengi kwa wakati mmoja, hawezi kupona hata kama ajitetee vipi.
Lengo lake Hersi aende akampe hela wayamalize kiutu uzima, Hersi asifanye hivyo hata kidogo, boss wa Yanga ni wanachama wake kupitia mkutano mkuu, nothing less nothing more, mengine ni njaa TU.mpumbavu yule hata dawa ya meno inamshinda kununua ataweza kununua hata maji ya mazoezi kwa timu?
RITA ya juzi tu hiyo, Yanga ilikuwepo tangu 1935. Kama Wanachama akidi ikitimia na wakiamua kujenga bar badala ya uwanja hakuna mahakama inayoweza kuhoji kwanini mnajenga bar badala ya uwanja wa mpira. Kama katiba iliyoko iliiwezesha Yanga kushiri mashindano ya ngao ya jamii, ligi, FA, CAF federation, na caf champions bila shaka katiba hiyo ni halali TFF, BMT, CECAFA, CAF na FIFA. Anaetaka kuhoji uhalali wa katiba alitakiwa kwanza kuonana na TFF na BMT kabla ya kufanya lolote, nyashu hawa!!!Mwambie Engineer wako na nyie vibaraka wake mjibu hoja zake na sio Viroja.
Kama huyo unaemsema yupo smart, alishindwa kufahamu huo ufa uliopo katika Katiba?!
Kufanya vizuri ni jambo moja, na yes, amejitahidi kwa hilo ila kufuata taratibu za uendsshaji mpira ni kitu kingine.
Magoma anatumia katiba ya 2010Wazo langu hata kama imeamualiwa na mahakama Eng Hersi akae pembeni basi ufanyike uchaguzi haraka kwa mujibu wa katiba ya hao wazee wanavyotaka na uchaguzi usimamiwe na hiyo mahakama na tutamsimika tena Eng Hersi kuwa mtendaji Mkuu wa Yanga na vipigo vitaendelea na msimu huu tuipige Simba wiki (7-0) ili akili iwarudie.
Otherwise katiba mpya inayomhalalisha Eng Hersi isainiwe haraka na kuidhinishwa na wanachama kwenye mkutano Mkuu wa dharura.
Hatutaki hata one day Eng Hersi kuondoka Yanga maana hakuna raha kubwa kama kuona makolo wakilia lia baada ya Kipigo na yeye ndie mastermind behind the wheel!
Hii nchi yetu ngumu sana yaani Yanga kutoa vipigo miaka mitatu imewauma sana makolo wanataka ufalme wa soka uwe wao tu japo hilo limeenda na bado mpaka waseme, tabu iko pale pale!
Nb: tukumbushane kuwa Kenya walifungiwa kushiriki mashindano makubwa na FIFA kwa sirikali kuingilia masuala ya michezo, yakitufika nasisi tusilaumu.
Katiba ya 2010 haipo, imezikwa na wanachama wenyewe majority na kuridhiwa na tff, serikali, caf na FIFA. Wengi wakiamua wachache wamo pia automatically(by default) ilimradi hakuna Sheria mama iliyovunjwa. Hiyo ndiyo demokrasia inavyotaka.Magoma anatumia katiba ya 2010