Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga.
Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na wao wamekamilisha taratibu zote za kupata dhamana.
Pia soma=> Magoma na YANGA ngoma bado ngumu
Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na wao wamekamilisha taratibu zote za kupata dhamana.
Magoma na Mwaipopo wamekamatwa leo baada ya kutoka Mahakama Kuu, kusikiliza rufaa kesi yao dhidi ya bodi ya wadhamini wa Yanga, ambayo imeahirishwa hadi Agosti 21 2024 mbapo upande wa bodi ya wadhamini wa Yanga watakuwa wameshapata wito.
Pia soma=> Magoma na YANGA ngoma bado ngumu