Magoma na wenzake watiwa Mbaroni kwa kughushi nyaraka za Yanga

Soon Magoma anachukua timu yake hawez akakulia kariakooo mitaa ya jagwan alafu waje warabu pori wachukue timu never never...go go go Magoma
 
Wanasema huyu mzee Magoma Moto kaongeza idadi , sasa wenye akili wako watatu kwetu utopoloni!!
Hivi anachotafuta Magoma ni nini hasa? Kina nani wamemtuma? Si aanzishe timu yake tu shida ni nini?
Hersi na GSM ndiyo waanzishe timu yao.
 
Ameyataka mwenyewe na yule hakimu wake wa mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…