Magonjwa 10 adimu na ya Ajabu zaidi duniani.

Mm huwa naona bombadia inakuja kunigonga
 
ukisikia idiopathic manake unknown aetiology but secretely ni man made diseases...
Yeah ingawa hiyo concept ya Man made mara nyingi huwa inakosa proof kwa sababu all traces za kupata hiyo proof huwa zimezibwa.. Mfano: HIV wanasema ni Lab product na ina kila sifa za kuitwa hivyo ila kuprove wameshindwa. Pia sio kila Idiopathic huenda ikawa Man made, Prwsha kubwa ya Damu (Hypertension) inaweza ikawa Primary(Idiopathic) au Secondary(With known etiology) ila hii haimaanishi ni man made.
 
sawa..lakini genetic errors nyingi zinatengenezwa..
mfano mzuri ni CFTR gene ambayo inaresult ya systic fibrosis,hii inasemekana ni genetic mutation katika gene factor control na lilishafanyiwa trial kabsaa...

Achana na effects za cigarrete as well as alcohol intake kusababisha lung fibrosis ,lakini inasemekana kabisa kuwa abnormal genes zinatengenezwa na kupandikwa kwenye vyakula tunavyokula badae zinaenda kuleta madhara during DNA Transcription hence mtu anakuwa ameinherit abnormal genes chain na kufanya matokeo( effects) kuonekana kwa next generation
 
Naegleria fowleri au brain eating amoeba ni ugonjwa hatari sana ambao tiba yake bado ni kizungumkuti

Mpaka sasa ni wagonjwa 5 kati ya 68 ndio wamewai kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…