Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Hayo magonjwa ni myth tu mkuu, na wanaoleta propaganda ni wale wanaowaonea wivu wanywaji.

Unaweza kuhakiki kwa kutafuta statistics za nani wanaishi zaidi kati ya wasiokunywa na wanaokunywa, utakuta wanywaji wanaongoza kwa kuishi maisha marefu.
Hahaha ah mkuu hapo ushapiga nini! Usijekua upo na hallucinations, mkuu wanywaji hufa vifo vya hafla hasa vitokanavyo na magonjwa ya moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia kwa undani hata soda au juice za viwandani zina madhara kuliko hata pombe. Sio kila mtu anakunywa pombe ila utaona kadri siku zinavyozidi kwenda 'life expectancy' inapungua. Ukitaka kufuatilia kila chenye madhara usitumie utajikuta hujala wala kunywa kitu siku nzima

the Legend☆
 
Nini maana ya kuishi sasa?ili tusife?tunapiga dana dana ukweli kuwa mwishoni lazime ufe, iwe kwa ugonjwa wa pombe, soda, chakula ama ajali, we live to die, ishu ni ukishakufa nini kinafuatia
Ni kweli kabisa ila sasa ukifa kwa Pombe na Muumbaji amekataza, ni nini unadhani kitafuatia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kufika usiku huu uzi utakuwa na page 70.
 
Hahaha ah mkuu hapo ushapiga nini! Usijekua upo na hallucinations, mkuu wanywaji hufa vifo vya hafla hasa vitokanavyo na magonjwa ya moyo

Sent using Jamii Forums mobile app

You are kidding yourself. Anayekufa hivyo hata asingekunywa angekufa.

Tafuta actuarial statistics uone life tofauti ya lifespans kati ya makundi hayo mawili, utakuta wanywaji wana likelihood ya kuishi zaidi ya wasiokunywa.
 
Ila mkuu wastani wa kunywa soda ni chupa moja kwa siku ya mls 600, hapo unakua safe kabisa, ila Pombe hata kiwango kidogo tu kina madhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are kidding yourself. Anayekufa hivyo hata asingekunywa angekufa.

Tafuta actuarial statistics uone life tofauti ya lifespans kati ya makundi hayo mawili, utakuta wanywaji wana likelihood ya kuishi zaidi ya wasiokunywa.
Hahaha nipo narudi [emoji537], nikitulia nitatuma hizo stastics halafu tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nishushie kasichana kamoja afu niusome huu uzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…