Achana na hao emotional speakers, pombe ni dawa. Na reference mimi ninazo.
Na walivyo hawa ukimtaka hela ukale na watoto wako hatakupa ila anaweza kukununulia hata kret nzima ilimradi asiwe peke yake mana huwa wanajua kuwa wanajiuaUmesahau UGONJWA WA SIFA.....ni nadra SNA kukuta MLEVI hajisifii AKILEWA..lazima atatamba MAISHA YAKE,,GARI hata kama hana,,Mke mzuri,,PESA hata kama hana..NGUVU ANAZO YEYE,,japokuwa ASUBUHI HUAMKA NA MANUNDU USONI,,,,mradi tu AJISIFIE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kule, kuna watu hawanywi pombe na migonjwa uliyoitaja unawashambulia kinoma
Mimi pombe nakunywa na maji nakunywa pia, ila maziwa na soda marufuku kwangu. Tume balance hapoHata mimi mkuu, na kuishi bila ya Pombe inawezekana, tunyweni maji na maziwa mbona Yana starehe pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tengueni kwanza kauli yenu ya uongo kwamba pombe ni dhambi, halafu niwape somo la maana.
sikutumia dawa yeyote bali nilirudi nipo vizuri na kichwani nilikuwa na wine ya kutosha na nyingine nimerudi nao.
Chunguza skuhiz washkaj weng wana watoto wa kike,we chunguzaHi
Hivi ulicho sema nikwel? Maana naona ninawakike tu isije kuwa grants ndo chanzo.
Najua lakini yote kwa yote ni upungufu wa kingaHakuna anaekufa kwa ngoma mkuu, wagonjwa wengi wa HIV /AIDS hufa kwa magonjwa nyemelezi kama kuharisha na haswa ugonjwa wa TB
Sent using Jamii Forums mobile app
ukinya utakufa, upokunywa pia utakufa tuPombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.
Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.
Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.
1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini
2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.
3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)
4)Canser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.
5)Vidonda vya tumbo
6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.
7)Utapiamlo
8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)
9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)
10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.
Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.
Pombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.
Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.
Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa pombe . pamoja na yote uliosema, magonjwa yote uliosema bado yanawapata watu ambao hawajawahi igusa pombe. Tafiti za madhara ya pombe na mapendekezo yake pamoja na kufatwa na wengi hazijainusuru jamii na magonjwa.