Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Umesahau UGONJWA WA SIFA.....ni nadra SNA kukuta MLEVI hajisifii AKILEWA..lazima atatamba MAISHA YAKE,,GARI hata kama hana,,Mke mzuri,,PESA hata kama hana..NGUVU ANAZO YEYE,,japokuwa ASUBUHI HUAMKA NA MANUNDU USONI,,,,mradi tu AJISIFIE..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namba 10 ndio ukweli-inasababisha ajari kuhusu magonjwa hizo ni bhra bhra,ingekuwa inasababisha magonjwa hayo yote basi urusi watu wote wangekuwa marehemu
 
Umesahau UGONJWA WA SIFA.....ni nadra SNA kukuta MLEVI hajisifii AKILEWA..lazima atatamba MAISHA YAKE,,GARI hata kama hana,,Mke mzuri,,PESA hata kama hana..NGUVU ANAZO YEYE,,japokuwa ASUBUHI HUAMKA NA MANUNDU USONI,,,,mradi tu AJISIFIE..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na walivyo hawa ukimtaka hela ukale na watoto wako hatakupa ila anaweza kukununulia hata kret nzima ilimradi asiwe peke yake mana huwa wanajua kuwa wanajiua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kule, kuna watu hawanywi pombe na migonjwa uliyoitaja unawashambulia kinoma
 
Ulitumia njia gani ukaweza kuwa mbali na hio sumu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
sikutumia dawa yeyote bali nilirudi nipo vizuri na kichwani nilikuwa na wine ya kutosha na nyingine nimerudi nao.
sasa wakati naweka kwenye stock nikaangalia idadi ya pombe nilizonazo hasira ikanipanda nikasema naacha na ikawa hivyo japo ndani ya siku saba nikakutana na lita 5 za wine nikagoma.
sasa ndani ya wiki mbili hizi nikama nimeanza kurudi kwa kunywa wine glass 2 na nafikiri naweza kuendelea japo si kwa pombe zile nilizokuwa nakunywa.
 
Pombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.

Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.

Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.

1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini

2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.

3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)

4)Canser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.

5)Vidonda vya tumbo

6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.

7)Utapiamlo

8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)

9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)

10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.

Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.
ukinya utakufa, upokunywa pia utakufa tu
 
Na wanywa pombe wengi kweli wana magonjwa ya akili, hata humu comments zao zinadhihirisha.
 
Pombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.

Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.

Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa pombe . pamoja na yote uliosema, magonjwa yote uliosema bado yanawapata watu ambao hawajawahi igusa pombe. Tafiti za madhara ya pombe na mapendekezo yake pamoja na kufatwa na wengi hazijainusuru jamii na magonjwa.

Back
Top Bottom