Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Naomba msituchoshe
4492220e-e89f-40d8-9810-e9444a9aa635_1.542e15d98bfcf4012fc70cb431b10747.jpeg
images.jpeg
 
Kwahiyo nyie msiokunywa mtaishi milele maana hamtaumwa sio?
 
Acha Kuleta Mada za Kijinga, Mimi ni nani Nisinywe? kama Bwana wetu Yesu Kristu Alikunywa?
 
Pombe kwanza kila kitu inhitajika kihasi,hata maji ukizidisha mwilini yana madhara ingawa hayana Alcohol.
 
Back
Top Bottom