Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Huu ugonjwa unatokana na nini?? Mimi najua ni mawazo au??Depression. Katika maisha yako usiombe ukaupata ugonjwa huu. Ni mara mia ufiwe na ndugu zako wote maumivu yake unaweza ukastahimili kuliko maumivu ya ugonjwa huu.
usiombee uugue ugonjwa wa kuwa chama pinzani akati ulishazoea kuwa chama tawala