Magonjwa gani hapa Tanzania ni sawa na hukumu ya kifo?

Magonjwa gani hapa Tanzania ni sawa na hukumu ya kifo?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Nimeona watu wengi wanakamblia kutibiwa nje ya nchi kutokana na kukosekana na huduma sahihi ama wataalamu wa kuwatibu!

Je, unafikiri ukiumwa ugonjwa gani hapa Tanzania ni sawa tu umehukumiwa hukumu ya kifo?

Ila ukitoka nje ya Tanzania unaweza kupata matibabu?

Karibuni
 
Depression. Katika maisha yako usiombe ukaupata ugonjwa huu. Ni mara mia ufiwe na ndugu zako wote maumivu yake unaweza ukastahimili kuliko maumivu ya ugonjwa huu.
 
1 cancer ya ini
2 damu kuvujia ndani ya ubongo
3 kansa ya koo
4.Figo kushindwa kufanya kazi
5.baadhi ya magonjwa ya moyo
 
Kansa nadhani imekuwa tishio mno haswa ya koo imeshika kasi mno...Mtu akienda pimwa akikutwa nayo tu anaondoka mapema mno kutokana na kujua kwamba hapa kupona haiwezekani so wengi vifo vyao vinaharakishwa na hofu.
 
Depression. Katika maisha yako usiombe ukaupata ugonjwa huu. Ni mara mia ufiwe na ndugu zako wote maumivu yake unaweza ukastahimili kuliko maumivu ya ugonjwa huu.
Huu ugonjwa unatokana na nini?? Mimi najua ni mawazo au??
 
usiombee uugue ugonjwa wa kuwa chama pinzani akati ulishazoea kuwa chama tawala
 
hakuna ugonjwa hatari kupata kutokea kama ilivyo CCM, umeuwa ndugu , jamaa na marafiki zetu wengi...
 
Back
Top Bottom