Magonjwa hatari yaliyoua watu wengi zaidi Duniani

Magonjwa hatari yaliyoua watu wengi zaidi Duniani

Tukumbushane kwa wanandoa
IMG-20200313-WA0029.jpeg
 
Kwenye death toll ya black death mbona kuna tofauti kubwa sana kwenye hiyo range ya 75m - 200m au hakukuwepo na ukusanyaji wa uhakika wa taarifa za vifo?
 
CORONA VIRUS

ITALY: Lockdown

CHINA: Lockdown

DENMARK: Lockdown

NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka
Kinachonishangaza ni kuona serikali inawaambia wananchi wake wachukue tahadhari ilhali yenyewe bado inaruhusu wageni ambao ni tishio kubwa kwenye kuingiza gonjwa hili.
 
BAADHI YA MILIPUKO YA MAGONJWA ILIYOUWA WATU WENGI

TAUNI YA KIFO CHEUSI (Bubonic Plague): Ulitokea mwaka 1347 – 1351. Watu milioni 75 hadi 200 wamekadiriwa kufa, ndani ya miaka 4 uliua takribani theluthi ya wakazi wa Ulaya

MAFUA MAKALI YA HISPANIA 1918. Yaliyotokana na Virusi Aina ya influenza H1N1, virusi walisababisha nimonia Kali, mapafu kujaa maji na tishu za mapafu kuharibika. Ugonjwa uliambukiza takribani watu milioni 500 na vifo takriban milioni 50 hadi 100 vilikadirwa kutokea

MLIPUKO WA UGONJWA WA TAUNI YA JUSTINIAN (the plague of justinian). Ulianzia Roma na kusambaa; idadi ya vifo inakadiriwa kufikia milioni 25 hadi 50. Ulisababiswa na bakteria aina ya Yersnia Pestis, ulifikia kiwango cha kuua watu 5000 kwa siku

MLIPUKO WA TAUNI YA ANTONINE. Hii iliikumba Roma na Ulaya. Wastani uliua watu milioni 5, katika kilele cha Mlipuko huu inakadiriwa ulikuwa unaua watu 2000 kila siku

EBOLA
UKIMWI
KIPINDUPINDU
MAFUA YA ASIA
 
Kinachosaidia siku hizi ni maendeleo makubwa ya sayansi na tecknolojia kuanzia mawasiliano,vifaa vya vipimo,madawa n.k. Vinginevyo hii corona ingeua mamilion pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3cb7dc1de98ad12cff4a4020630d278d



Corona is never the end of the world the fact that the whole World is shaking does not mean corona will end the world.

Are u people scared that the world is coming to an end, do u feel like this is the worst disease outbreak No, it's not close to even top 20 epidemics.

Let me share with u the world's worst pandemics of all times.


1. ANTONINE PAGUE: This occurred in 165AD and claimed 5million lives. It swept over Asia, Egypt, Greece and Italy. Just in case u think it's the first time Italy is leading.

2. PLAGUE OF JUSTINIAN: It occurred btn 541 to 542, just in 1years 25 million people were dead. Each day, death toll counted 10,000 .



77a2adb2f06b8b4248aef03c4619119d



3. THE FLU PANDEMIC: It's was btn 1918 to 1920, just 100 years ago. By that time the world had 1-5 billion and that was 1/3 of the total population. In the first week alone, there was a record 25 million deaths, worse than first world War it self.

Corona virus is mostly killing the elderly and those already weaked by other diseases but the Spanish flu respected no age group, it claimed 50 million lives.

4. THE 3RD PLAGUE OF 1855: This one also started from china and killed 10 million Indians is less than one year. You wouldn't want to hear the total number of global death. By now you want to ask me whether the world ended, the answer is it didn't, lol

5. THE BLACK DEATH: This was by far the worst. It occurred from 1346-1353, that was 7 years long pandemic. It was caused by bubonic plague transmitted by fleas. By that time, the world's population was 400 million, then 200 million died. Half of the world's population died. If the world was to end with a disease, it would end that time not with corona.

It is said that during that plague, the living spent most of their time hurrying the dead in mass graves and yet others were left unburied.

6. HIV AIDS: You didn't expect this one, did you? Perhaps u forgot about it but the disease still rear it's ugly head across the world. The peak record deaths was btn 2005-2012. In 7 years, 36 million people died but it didn't terrify u because it was not no news like corona.



5b3d839b3a622778ecaac4f03a9ac5d5



By today, corona death is close to half a million, no. Whenever u feel frightened by corona, just know that it will never be recorded among world's top 20 pandemic, it's not close. The world is not ending with it we shall live on. Well, people are dying but not even half will die. We shall remain.
 
Back
Top Bottom