Magonjwa hatari zaidi yalioua watu wengi katika historia ya dunia kuanzia 167AD -2020

Sudi jr

Senior Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
134
Reaction score
179
ANTONINE PLAGUE (165 AD)

daeth toll: 5 million
cause: Unknown
Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD)
maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt, Asia,

PLAGUE OF JUSTINIAN (541-542)

Death Toll: 25 million
Cause: Bubonic Plague
Location: Constantinople
maeneo yaliyoathirika zaidi Europe, Byzantine empire na Constantinople city. asiliamia 40% ya wakazi wa mji wa Constantinople walipoteza maisha.

THE BLACK DEATH (1346-1353)

Death Toll: 75 – 200 million
Cause: Bubonic Plague
Location: Asia
maeneo yaliyoathirika zaidi Europe, Asia na Africa ambapo inakadiriwa kua karibia 60% ya watu wote Europe walipoteza maisha.

FLU PANDEMIC (1918)

Death Toll: 20 -50 million
Cause: Influenza
inakadiriwa kati ya mwaka 1918 -1920 tayari watu zaidi ya 50 million walipoteza maisha. ambapo mwaka 1918 pekee zaidi ya watu 500 million walipata maumbuizi ya ugonjwa huu huku 25 millions walipoteza maisha katika week 25 za mwanzo wa maambuki.

HIV/AIDS PANDEMIC 1980 - 2020+

Death Toll: 36 million
Cause: HIV/AIDS
Location: congo mnamo mwaka 1976 ndipo uliopogunduliwa kwa mara ya kwanza, ambapo mpaka sasa umeua zaidi ya watu 36 millions huku watu zaidi ya 35 millions wakiishi na maambuzi ya ugonjwa huo na wengi wao wanapatikana africa ambapo inakadiriwa kua 5% ya watu wote Africa (20 millions) wanaishi na ugonjwa huo.

Na sasa tuna CORONA VIRUS (COVID 19)
tayari umetangazwa kua ni janga la dunia (pandemic) hatujui hatima yake
MUNGU atunusuru na janga hili, huku kila mmoja akachukua hatua kuzuia kuenea kwa ugojwa huu.
 
Eeeh bana iyo BLACK DEATH bubonic plague ilikuwa hatari sana unaambiwa ilitaka kuwa maliza bara zima la ulaya ngoma ilipiga balaaa
 
Ukimwi ulianzia nchi za watu huko nje, na mara ya kwanza ulionekana huko huko nje!
Tena ulionekana kwanza kwa wapenzi fulani wa jinsia moja, huko Amerika!
Swala la kuonekana kongo labda useme Ebola.
Hata Ebola nadhani mwanzo ni Siera Leone, kama mafaili hayajakaa vibaya!
 
Ebola haijazungumziwa kabisa.. uzi wa uongo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ANTONINE PLAGUE (165 AD)

daeth toll: 5 million
cause: Unknown
Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD)
maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt, Asia,

PLAGUE OF JUSTINIAN (541-542)

Death Toll: 25 million
Cause: Bubonic Plague
Location: Constantinople
maeneo yaliyoathirika zaidi Europe, Byzantine empire na Constantinople city. asiliamia 40% ya wakazi wa mji wa Constantinople walipoteza maisha.

THE BLACK DEATH (1346-1353)

Death Toll: 75 – 200 million
Cause: Bubonic Plague
Location: Asia
maeneo yaliyoathirika zaidi Europe, Asia na Africa ambapo inakadiriwa kua karibia 60% ya watu wote Europe walipoteza maisha.

FLU PANDEMIC (1918)

Death Toll: 20 -50 million
Cause: Influenza
inakadiriwa kati ya mwaka 1918 -1920 tayari watu zaidi ya 50 million walipoteza maisha. ambapo mwaka 1918 pekee zaidi ya watu 500 million walipata maumbuizi ya ugonjwa huu huku 25 millions walipoteza maisha katika week 25 za mwanzo wa maambuki.

HIV/AIDS PANDEMIC 1980 - 2020+

Death Toll: 36 million
Cause: HIV/AIDS
Location: congo mnamo mwaka 1976 ndipo uliopogunduliwa kwa mara ya kwanza, ambapo mpaka sasa umeua zaidi ya watu 36 millions huku watu zaidi ya 35 millions wakiishi na maambuzi ya ugonjwa huo na wengi wao wanapatikana africa ambapo inakadiriwa kua 5% ya watu wote Africa (20 millions) wanaishi na ugonjwa huo.

Na sasa tuna CORONA VIRUS (COVID 19)
tayari umetangazwa kua ni janga la dunia (pandemic) hatujui hatima yake
MUNGU atunusuru na janga hili, huku kila mmoja akachukua hatua kuzuia kuenea kwa ugojwa huu.
Maralia imeshaua sana zaidi ya 1bilion
 
ebola haijazungumziwa kabisa.. uzi wa uongo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Labda hujaelewa vzuri, magonjwa yaliyotajwa hapo mkuu ni yale ambayo yalisababusha mamilioni ya vifo vya BInadamu. Ukiuongelea ugonjwa wa Ebola, ndio Ebola ni ugonjwa hatari ila idadi ya waliofariki kwa sababu ya ugonjwa huo sio wengi ukilinganisha na Ukimwi na mengine yaliyotajwa hapo juu.

MUNGU ATUEPUSHE NA HUU UGONJWA WA CORONA V19 NA MENGINEYO.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kazungumzia magonjwa yaloua sana kabla ya kusema chai ungeweka takwim za ebola

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mimi nimemjibu, anawahi kusema chai wakati hana takwimu yoyote
IMG_2301.JPG
Haya mimi nimewawekea wadau nayeye aone alivyo chai kukurupuka kudharau mabandiko ya watu.!

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Ukimwi ulianzia nchi za watu huko nje, na mara ya kwanza ulionekana huko huko nje!
Tena ulionekana kwanza kwa wapenzi fulani wa jinsia moja, huko Amerika!
Swala la kuonekana kongo labda useme Ebola.
Hata Ebola nadhani mwanzo ni Siera Leone, kama mafaili hayajakaa vibaya!
Acha kudanganya,viral are named according to geographical location.eg EBOLA virus discovered in EBOLA RIVER in DR CONGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom