Magonjwa hatari zaidi yalioua watu wengi katika historia ya dunia kuanzia 167AD -2020

Magonjwa hatari zaidi yalioua watu wengi katika historia ya dunia kuanzia 167AD -2020

Hiyo black death au Town ni balaa. Watu walikufa kama kumbikumbi.
 
Black death hiyo ikirudi Mungu wangu tutaokotwa kama maembe.
 
Black death hiyo ikirudi Mungu wangu tutaokotwa kama maembe.
Spanish flu ipo hapo?
 
ebola haijazungumziwa kabisa.. uzi wa uongo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Baelezee wamesahau

Cholerae ilivotisha wakati hakn dawa ikamuua mpaka Rais,

TB&Leprosy zilivotisha na kuua,

Malaria kabla ya kupata dawa wazungu waliiogopa sana
 
Back
Top Bottom