Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
UJINGA NDIO UGONGWA MBAYA ZAIDI. Maana unaweza sababisha ukapata maradhi yote ulimwenguni.Haya ni Kati ya mogonjwa ninayoyaogopa sana.
1.HIV/AIDS
2.HPV
3.HEPATITIS
4.SYPHYLIS
5.LEPROSY
KUna jingine.....??
Hahahaa unatania mkuu... Fungus mmhMimi naogopa sana Fungus kuliko hayo hapo
Hilo nalo neno...UJINGA NDIO UGONGWA MBAYA ZAIDI. Maana unaweza sababisha ukapata maradhi yote ulimwenguni.
Aksante! Imekaa poa hiyoSina gonjwa ninalo liogopaa maana ninaye Yesu christo mponyaji na hakuna linaloshindikana kwake.