Magonjwa hatari

Magonjwa hatari

Dark Angel

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
212
Reaction score
220
Haya ni Kati ya mogonjwa ninayoyaogopa sana.
1.HIV/AIDS (Ukimwi)
2.HPV
3.HEPATITIS (Homa Ya Ini)
4.SYPHYLIS(Kaswende)
5.LEPROSY(Ukoma)


KUna jingine.....??
 
UJINGA NDIO UGONGWA MBAYA ZAIDI. Maana unaweza sababisha ukapata maradhi yote ulimwenguni.
Hilo nalo neno...
Lkn ata ukiwa na akili unaeza pata maginjwa vile vile...
 
Sina gonjwa ninalo liogopaa maana ninaye Yesu christo mponyaji na hakuna linaloshindikana kwake.
 
Back
Top Bottom