Magonjwa mengine

Magonjwa mengine

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Duniani Kuna magonjwa uku ya hatari. Ambayo mengine hayana majina

Najisikia hali fulani hivi Ambayo na shindwa kuhelewa kama ni ugonjwa au ni maumivu

Yaani kichwani mwangu sijui kama kuna tatizo gani kichwa akiumi wala nini.

Nini sijihisi kizunguzungu.

Na jihisi hali fulani hivi.

Kama vile hali ya mtu ambaye akulala usiku mzima Yaani kichwani kiko kivingine vingine Yaani

Nashindwa kuhelewa hili Lina sababishwa na nini hasa.

Kulala na lala Tena ma saa 8 kwa siku.

Anaye jua hali hii anisahidie please
 
Mkuu umeuliza swali nami nakutaftia ufumbuzi kwa njia ya swali. Sasa unapobisha Jambo manake una majibu na kama una majibu hukua na haja ya kuuliza hapa jukwaani.

Doctor ukimwambia unaumwa tumbo anaweza kukuuliza hua unalala mchana ? Ni kwamba anatafta chanzo kwa mujib wa utaalam wake
 
Na tumia simu saana
Jaribu kupunguza, kama una smartphone toa laini weka kwenye kiswaswadu kwa muda, pumzika vizuri, kunywa majinya kutosha hii hali itaisha. Isipoisha tatizo ni jingine.
 
Duniani Kuna magonjwa uku ya hatari. Ambayo mengine hayana majina

Najisikia hali fulani hivi Ambayo na shindwa kuhelewa kama ni ugonjwa au ni maumivu

Yaani kichwani mwangu sijui kama kuna tatizo gani kichwa akiumi wala nini.

Nini sijihisi kizunguzungu.

Na jihisi hali fulani hivi.

Kama vile hali ya mtu ambaye akulala usiku mzima Yaani kichwani kiko kivingine vingine Yaani

Nashindwa kuhelewa hili Lina sababishwa na nini hasa.

Kulala na lala Tena ma saa 8 kwa siku.

Anaye jua hali hii anisahidie please
Wakati mwingine hii ni dalili ya magonjwa ya moyo, au una mawazo mengi yanayopelekea kuufanya moyo usifanye kazi yake vizuri
 
Back
Top Bottom