saint DR Senior Member Joined Aug 21, 2014 Posts 182 Reaction score 76 Nov 9, 2015 #1 Napenda kuuliza kuwa ni kitu gani kinasababisha homa kuwa kali sana nyakati za usiku. Je ni kwa nini vifo mara nyingi hutokea mida ya usiku?
Napenda kuuliza kuwa ni kitu gani kinasababisha homa kuwa kali sana nyakati za usiku. Je ni kwa nini vifo mara nyingi hutokea mida ya usiku?